Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Beyone kufanya show Sphere 2024?

Sphere 1920x1237 Beyone kufanya show Sphere 2024?

Fri, 17 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Inadaiwa kuwa James Dolan ambaye ni mfanyabiashara na mmiliki wa ukumbi maarufu nchini Marekani wa Sphere ulioko Las Vegas, yupo kwenye mazungumzo na mwanamuziki Beyonce kwa lengo la kutaka msanii huyo afanye show katika ukumbi huo ili uweze kutambulika zaidi.

Hata hivyo inadaiwa kuwa timu ya #Beyonce imetaka kiasi cha dola milioni 10 ambazo ni zaidi ya tsh bilioni 20 kufanikisha msanii huyo kukubali kufanya show ndani ya ukumbi huo.

Beyonce alimaliza ziara yake ya "Renaissance World Tour" mwezi uliopita ambapo hajatangaza show wala ziara yoyote kwa mwakani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live