Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Beyonce kuzindua bidhaa mpya ya nywele

Cecred Beyoncee Beyonce kuzindua bidhaa mpya ya nywele

Thu, 8 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beyoncé amefichua kuwa atazindua bidhaa mpya ya kutunza nywele mnamo Februari 20.

Mshindi huyo mara 29 wa Grammy alitoa tangazo hilo kwenye ukurasa wake wa Instagram, akichapisha video ya siri iliyoonyesha picha za filamu za nyumbani za saluni ya mama yake Headliners, huko Houston, Texas ambapo Beyoncé alikuwa na kazi yake ya kwanza ya kufagia nywele.

Skrini ya projekta ya muda inaonyesha vijisehemu vya video za utotoni; yenye maneno “Nywele ni takatifu,” yalisomeka nukuu ya Beyoncé alipokuwa akifichua jina la chapa hiyo mpya, Cécred.

pia video hiyoilionesha vipande viilivyochanganyikana na picha za kumbukumbu za familia yake ni klipu za kuosha nywele, kusuka mitindo kwa umahiri.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live