Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Beyonce kupiga Shoo ya Bilioni 56 kwa saa Dubai

Beyonce To Perfom In Dubai Beyonce

Thu, 19 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki Beyonce yupo Dubai kwa ajili ya onesho lake ambalo litafanyika Jumamosi hii. Kwa mujibu wa taarifa za ndani, Beyonce amelipwa kiasi cha ($24 million) zaidi ya TSh. Bilioni 56 kutumbuiza kwa Saa moja tu.

Beyonce ameshea video ambayo Queen Bey anasikika akifanya sound check ambapo onesho lake litajumuisha Jumla ya ngoma sita pekee ikiwemo Crazy In Love, Freedom, Drunk in Love, Halo, Spirit na Naughty Girl.

Tazama Video hapa chini;

View this post on Instagram

A post shared by Dozen’s Selection (@dozenselection)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live