Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Beyonce kuingiza Bil 34.3 tour take ya "Renaissance"

Beyonce Tour World Beyonce

Mon, 6 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jumatano iliyopita star kutoka Marekani Beyonce alitangaza tour yake ya Dunia aliyoipa jina la "Renaissance world tour" ikiwa ni kama kuendelea kuipromote albam yake ya saba ambayo aliipa jina hilo hilo la Renaissance na aliiachia 2022.

Bado bei halisi za tiketi bado haijawekwa wazi lakini PopBuzz imeripoti kuwa pengine tiketi zitaanzia £56 ambazo ni sawa na Tsh. 159,363 hadi £2400 (Tsh 6,829,844) kulingalia na class ya tiketi

Billboard Magazine inatabiri kwamba tour hiyo ya Beyonce inaweza kumuingezea hadi Sh34.3 bilioni kwenye utajiri yake ambao kunakadiriwa kuwa $500 million

Chanzo: www.tanzaniaweb.live