Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Beyonce amaliza ziara yake kwa kishindo

Beyonce Hj.jpeg Beyonce

Mon, 2 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwimbaji Beyonce ameimaliza ziara yake ya “Renaissance World Tour” jana Oktoba 1 huko mjini Kansas City, Missouri.

Queen Bey amepiga jumla ya show 56 kwenye miji tofauti tofauti duniani.

Hii ndio ziara kubwa na iliyotengeneza pesa ndefu kwa msanii wa Kike kwenye historia.

Beyonce ameingiza kiasi cha ($461.2 million) zaidi ya TSh. Trilioni 1.1 ambapo watu milioni 2.2 walihudhuria maonesho yake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live