Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bentley ya Davido imewasili Nigeria

Thu, 1 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Hatimaye mkali wa mzuki kutoka Nigeria, Davido ameikampokea ndinga yake mpya aina ya Bentley Bentayga.

Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram Davido alishukuru kampuni ya Bentley Altant kwa kuweza kumfikishia gari hiyo ya kifahari na kuandika “Thank you @bentley_atlanta ??for making this a smooth purchase !! My baby off to the port

Chanzo: bongo5.com