Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ben Pol aguswa na kifo cha Nisher

Ben Pol Aguswa Na Kifo Cha Nisher Ben Pol aguswa na kifo cha Nisher

Tue, 12 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Ben Pol akizungumzia kifo cha Director Nisher kilichotokea usiku wa kuamkia leo.

Ben Pol ameiambia Mwananchi Scoop, taarifa ya kifo cha Nisher ameipokea kwa masikitiko makubwa sana, kwani walikuwa zaidi ya marafiki na anachokumbuka ni kuwa Nisher alikuwa mchapa kazi.

"Amendoka bado kijana kwa kweli imeniuma sana," alisema Ben.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live