Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Ben Pol, Arnelisa ishu ya ndoa yao ipo Mahakamani"

Crkbyfuxa6el9r7255fc36aeebc047 660x400.jpeg "Ben Pol, Arnelisa ishu ya ndoa yao ipo Mahakamani"

Fri, 30 Apr 2021 Chanzo: millardayo.com

Staa wa Bongofleva, Ben Pol amethibitisha kufunguliwa kwa shauri la talaka dhidi ya mkewe, Arnelisa ambaye ni raia wa Kenya.

Ben Pol amethibitisha suala hilo leo Ijumaa Aprili 30, 2021 kupitia ukurasa wa wake wa Instagram baada ya kuibuka madai mtandaoni kuwa wawili hao wametengana.

“Masuala haya ni ya binafsi sana na kwa kuwa shauri linaendelea mahakama ya mwanzo Ben Pol asingependa lizungumzwe zaidi kwa heshima ya pande zote na kwa kuheshimu kazi ya Mahakama,”

“Pia anaomba nafasi na faragha kwake na kwa familia katika kipindi hiki kigumu na anawashukuru wote kwa uelewa na pia kwa familia, marafiki na mashabiki wote kwa sapoti mnayoendelea kuionesha,” Ben Pol katika ujumbe huo wenye kichwa cha habari ‘shauri la talaka’ unaoonyesha kuwekwa na uongozi unaomsimamia shughuli zake 

MEYA RAIBU JINO KWA JINO NA WAFANYABIASHARA, AWAKABIDHI TAKUKURU

Chanzo: millardayo.com