Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Belle 9, Bonge la nyau wametoka Hospitali, Lulu Diva anaendelea vizuri" Polepole

HP 660x400 "Belle 9, Bonge la nyau wametoka Hospitali, Lulu Diva anaendelea vizuri" Polepole

Tue, 8 Sep 2020 Chanzo: millardayo.com

Leo Septemba 8, 2020 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi Humphrey Polepole ametoa taarifa kuwa wasanii Bonge la Nyau, Lulu Diva na Belle 9 wameshatoka Hospitali na wanaendelea vizuri.

Polepole ameandika Twitter “Napenda kuwajulisha kuwa vijana wetu Belle 9, Bonge la Nyau wameshatoka hospitali na binti yetu Lulu Diva wote wanaendelea vizuri, Lulu Diva tunaomba Mungu atatoka hospitali leo, ahsante wote kwa support, ahsante zaidi Ummy Mwalimu, Muhimbili Taifa na Rais Magufuli, MUNGU awabariki“.

Wasanii hao walipata ajali ya gari maeneo ya Chalinze siku ya Septemba 7, wakati wanarejea DSM.

MTOTO ALIEZIMIA KWA MIAKA 37 NA SIKU 111, HAKUZINDUKA AKAFA, MAMA ALIZIMIA MIAKA 27

Chanzo: millardayo.com