Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bella Kombo kabla ya 'gospo' aliwahi kuimba Bongo Fleva

Bella Kombo M Bella Kombo

Fri, 23 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kabla ya kuingia rasmi kwenye muziki wa Gospel mwimbaji, Bella Kombo aliwahi kushirikishwa kwenye nyimbo kadhaa za muziki wa Bongofleva miaka ya nyuma.

Sauti ya Bella Kombo ilihusika kwenye ngoma hizi japo hakushiriki katika video ya wimbo hata mmoja;

-King Ruston Ft Bella Kombo – Fake Love

-Nikki Mbishi Ft Bella Kombo & Maulo – Sauti ya Jogoo

-Hemedy Phd Ft Bella Kombo – Far Away.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live