Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Beka Flavour na Happie watarajia kupata mtoto wa pili

Beka Flavour Na Happie Watarajia Kupata Mtoto Wa Pili Beka Flavour na Happie watarajia kupata mtoto wa pili

Tue, 16 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki wa #BongoFleva nchini #Beka Flavour ameweka wazi kuwa anatarajia kupata mtoto wa pili yeye na mpenzi wake #HappieeReuter.

Mwanamuziki wa #BongoFleva nchini #Beka Flavour ameweka wazi kuwa anatarajia kupata mtoto wa pili yeye na mpenzi wake #HappieeReuter. Kupitia ukurasa wa #Instagram wa msanii huyo ali-share video ya Happie ikimuonesha akiwa mjamzito ambapo alikuwa akimtakia kheri ya siku ya kuzaliwa huku akimshukuru kwa kumpatia zawadi nyingine ya pili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live