Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Beka Flavour kafunguka kuhusu kuibiwa Mpenzi wake

Untitled 3 kushoto ni msanii wa Filamu Patrick kanumba akiwa na Happy na kulia ni msani Beka Flavour

Mon, 9 Aug 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Leo Agosti 9,2021. Msanii Beka Flavour amefunguka stori za kuibiwa mpenzi wake Happy Reuter na msanii wa filamu Patrick Kanumba kwa kusema stori hiyo haijamuumiza na ameona ni vitu vya kawaida.

"Hizo nimezichukulia poa tu hazijawahi kuniumiza, nimeona ni vitu vya kawaida sana hivyo vitu vipo na kila siku vinatokea, kuhusu story za baby mama wangu tuziache kwa sasa" amesema Beka Flavour

Kwenye mahusiano yao Beka Flavor na mama mtoto wake Happy wamebahatika kupata mtoto mmoja wa kiume aitwaye Aaryan Beka flavour.

 

Chanzo: www.tanzaniaweb.live