Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Beka Flavour, Peter Msechu walia na wasanii wa Bongo Fleva ‘watu wanachagua misiba’ (+video)

Video Archive
Mon, 11 Jun 2018 Chanzo: bongo5.com

Wasanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Peter Msechu na Beka Flavour wamelaani kitendo cha wasanii wa tasnia hiyo kutohudhuria kwa wingi kwenye mazishi ya msanii mwenzio, Sam wa Ukweli.

Akizungumza na Bongo5 Peter Msechu amesema kuwa wasanii wengi ni wanafiki na hiyo ndio sababu na wanapenda sana bata kuliko matukio muhimu kama kuhudhuria klw enye misiba. Wasikilize hapa chini wakifungaka.

Loading...
Chanzo: bongo5.com