Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Beckham azua gumzo akimbusu midomoni mtoto wake wa kike

Beckham Daughters Beckham azua gumzo akimbusu midomoni mtoto wake wa kike

Tue, 3 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa zamani wa ‘Soka’ David Beckham kutoka nchini Marekani ambaye kwa sasa ni Rais wa ‘Klabu’ ya Inter Miami ameweka wazi kuwa make-up artist wake siku zote ni binti yake mwenye umri wa miaka 12.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa mwanasoka huyo wa zamani ame-share video akiwa na binti yake Harper Seven akiwa anampaka make-up kwa ajili ya kwenda kuhudhuria Victoria Beckham's fashion show jijini Paris.

Lakini licha ya sifa hizo kitendo cha Beckham kumbusu midomoni mtoto wake kimeacha maswali mengi kwa mashabiki wa Staa huyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live