Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bashungwa "Tutetee haki za wasanii wakiwa hai"

Screenshot 2020 12 15 At 17.33.30 660x400.png Bashungwa "Tutetee haki za wasanii wakiwa hai"

Wed, 16 Dec 2020 Chanzo: millardayo.com

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Innocent Bashungwa akiwa pamoja na Naibu wake Ulega amesema utetezi wa kazi za wasanii ufanyike wakati wakiwa hai.

Bashungwa ameyasema hayo alipofanya ziara Bodi ya Filamu “Si vizuri Msanii akafanya kazi yake lakini wakati wa uhai wake tukawa hatuko nae katika kutetea haki zake, tunasubiri mtu akifa ndio tuanze kuhangaika kutetea haki zake, tunataka utetezi wa Wasanii kwa nguvu zote ufanyike wakati yupo hai” Waziri Bashungwa

BREAKING: MWIGIZAJI JENGUA AFARIKI DUNIA

Chanzo: millardayo.com