Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Barnaba: Siwezi kudate na staa, sitaki makelele

Barnaba M  Barnaba

Wed, 22 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Bongo Fleva, @barnabaclassic amefunguka kwasasa hawezi tena kuwa na mahusiano na mtu maarufu kwa kile alichodai kuwa haitaji makelele.

Akifanya mahojiano na EFM, Barnaba amesema; "Nimewahi kudate na star takribani miaka 10 iliyopta siwezi kumtaja jina.

“Sipendi kudate na mtu maarufu maana mimi pia ni superstar na watu wanampenda sana #Barnaba na watu wananijua na kazi yangu ni makelele nikiwa kibaruani, studio, ofisini kote makelele, kwa hiyo sihitaji kurudi tena nyumbani nikutane na makelee,'' amesema Barnaba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live