Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Barnaba: Diamond endelea kufungua njia

Barnaba Na Diamond Barnaba: Diamond endelea kufungua njia

Mon, 2 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ikiwa leo ni siku ya kumbukizi ya kuzaliwa mwanamuziki Diamondplatnumz, baadhi ya watu wameendelea kumtakia kheri kwa maneno mbalimbali.

Ikiwa leo ni siku ya kumbukizi ya kuzaliwa mwanamuziki Diamondplatnumz, baadhi ya watu wameendelea kumtakia kheri kwa maneno mbalimbali. Kwa upande wa wanamuziki Barnaba Classic, amemtakia Diamond maisha marefu yenye baraka huku akimtaka aendelee kufungua njia katika tasnia ya muziki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live