Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Barakoa ya kidijitali yazinduliwa

Skyted.jpeg Barakoa ya kidijitali yazinduliwa

Sat, 10 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kampuni ya Skyted imezindua barakoa ya kidijitali ambayo inaweza kumruhusu mtumiaji kufanya mazungumzo ya siri hadharani bila ya watu wengine kusikia.

Barakoa hiyo iliyopewa jina la ‘The Skyted Mask’ inaweza kupunguza sauti kwa asilimia 25 na kuifanya kuwa bora kwa majadiliano ya siri hata mtumiaji akiwa katika maeneo tulivu kama vile maktaba bila ya mtu aliye karibu kusikia mazungumzo.

‘The Skyted Mask’ inauzwa $600 ambayo ni zaidi ya tsh 1.5 milioni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live