Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Barakah awataja waliomshusha kimuziki 2017 (Video)

Mon, 8 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa muziki Barakah The Prince amefunguka kuzungumzia watu wanaodai wamefanya jitihada kubwa kumshusha kimuziki. Muimbaji huyo amedai watu ambao waliingia na kuiba views kupitia channel yake ya YouTube ndio wachawi wake ndani ya mwaka 2017.

Chanzo: bongo5.com