Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Barakah The Prince aoga matusi baada ya kumtukana Kiba

Kiba Barakah One.jpeg Barakah the Prince

Sun, 4 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Bongo Fleva, Barakah The Prince ameoga matusi kutoka kwa mashabiki baada ya kuongea kwenye Interview, kuwa hampendi Alikiba na kwamba hajawahi kumkubali.

Kauli hiyo imewaibua mashabiki kibao wa muziki nchini na wafuasi wake na wa Ki a katika mitandao ya kijamii ambao wamemfuata Instagram na kuporomosha matusi kibao kwenye post zake.

Mchongo mzima upo hivi, Baraka alifanya interview baada ya Kuperform, alipoulizwa kuhusu Alikiba alijibu kwamba hampendi na wala hamkubali.

Pia kabla ya Interview Baraka akiwa kwenye Show Mashabiki walimuomba aimbe wimbo wake na Alikiba "Nisamehe" ila mwamba akakataa akasema kwamba Alikiba ni mpumbavu na wala hataki kumsikia.

Mbali na Mwijaku, watu kibao wamelaani suala hili na kumuona Barakah kama mtu aliyekosa Adabu.

Baadhi ya Comments za wadau kwenda kwa Baraka;

"Kimuziki ushapotea *** wewee huna jipya unatafita kick kupitia Alli *** wewe na kwa taarifa yako Ally atoagi kick kwa *** Kama wewe takatakaa wahuni wana********"

"Kwani wewe mpumbavu mpaka useme Alli kiba umpendi kwani yeye alishawah kukwambia akaupenda??? Kwanza Ali akupende **** Kama wewe akupeleke wapi **** wewee"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live