Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baraka The Prince alivyomtolea nje Real Bexy kwenye kolabo

Baraka The Prince Alivyomtolea Nje Real Bexy Kwenye Kolabo Baraka The Prince alivyomtolea nje Real Bexy kwenye kolabo

Thu, 28 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki chipukizi Real Bexy amefungukuka ambavyo Baraka The Prince alimtema kufanya naye ‘kolabo’ wakati anajitafuta kupenya kwenye game ya Bongo Fleva.

Akizungumza na moja ya chombo cha habari amedai kuwa aliwahi kunyimwa ‘kolabo’ na Baraka licha ya kuwahi kuwa marafiki na kumwambia akue kwanza kimuziki ndiyo amuombe ‘kolabo’.

Aidha ameeleza kuwa alivyotoa wimbo wake wa kwanza kipindi ambacho Baraka havumi, alimfata na kumsifia huku akidai kuwa yupo tayari kufanya naye kazi.

Hata hivyo Real Bexy amedai kuwa baada ya Baraka kumfata ilibidi na yeye amvimbie, kama alivyofanyiwa mwanzo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live