Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Balaa!! Full video ikionyesha Mashindano ya pikipiki mwanzo mwisho Arusha

TOYO COVER ORG 660x400 Balaa!! Full video ikionyesha Mashindano ya pikipiki mwanzo mwisho Arusha

Tue, 20 Oct 2020 Chanzo: millardayo.com

Arusha yamefanyika mashindano yakuendesha  pikipiki yaliyopewa jina la Mwalimu Nyerere ambayo yameshirikisha zaidi ya waendesha pikipiki mia moja

Kwenye hii video hapa chini tumekuwekea jinsi washiriki walivyokuwa wanaendesha pikipiki ikiwemo vikwazo ambavyo wamevipitia kwenye mashindano hayo.

DOGO ANA MIAKA 13 LAKINI KAONGOZA KWENYE MASHINDANO YA PIKIPIKI ARUSHA “NIMEWACHAPA”

Chanzo: millardayo.com