Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#BadNews: Dereva wa Chino afariki ajalini

Chinoooo WA0015 Dereva wa Chino afariki ajalini

Sun, 12 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanafamilia kutoka kwenye kundi la @chino_kidd7 anayefahamika kwa jina la Nabeel ambaye alikuwa ni dereva wa gari iliyopata ajali siku ya jana lililowabeba kina Chino Kidd amefariki siku ya leo.

Nabeel amefariki dunia alfajiri ya leo kutokana na majeraha aliyoyapata kwenye ajali hiyo siku ya jana.

Mazishi yake yanatarajia kufanyia saa 7:00 mchana wa leo makaburi ya Upanga Dar es Salaam.

Majeruhi wa ajali hiyo wamehamishiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kupatiwa matibabu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live