Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Babu wa miaka 101 ajichimbia kaburi la millioni "nitaliwa na fisi,nitaacha laana"

Video Archive
Wed, 2 Dec 2020 Chanzo: millardayo.com

Mzee Ndelekwa Ayo mwenye umri wa miaka 101 mkazi wa Arusha,ameingia kwenye headlines baada yakujichimbia kaburi lake akiwa hai ambapo amesema litagharimu zaidi ya shilingi million moja huku akisema ametumia gharama zake mwenyewe kupitia fedha ambazo amezikusanya kupitia kilimo na ufugaji pamoja na kipande cha eneo alichoiuzia serikali nakupata shilingi million 400

Mzee Ndelekwa Ayo mwenye umri wa miaka 101 mkazi wa Arusha,ameingia kwenye headlines baada yakujichimbia kaburi lake akiwa hai ambapo amesema litagharimu zaidi ya shilingi million moja huku akisema ametumia gharama zake mwenyewe kupitia fedha ambazo amezikusanya kupitia kilimo na ufugaji pamoja na kipande cha eneo alichoiuzia serikali nakupata shilingi million 400 KIJANA MWENYE ‘DEGREE’ ANAVYOZAMA KWENYE MGODI WA BILIONEA MPYA LAIZER “TUNASOMOA”

Chanzo: millardayo.com