Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Babu aliyejichimbia kaburi aibuka asema litatumia mill 4,ataja matano ya Magufuli

BABU WEB 1 660x400 Babu aliyejichimbia kaburi aibuka asema litatumia mill 4,ataja matano ya Magufuli

Mon, 21 Dec 2020 Chanzo: millardayo.com

Mzee Ndelekwa Ayo mwenye umri wa miaka 101 mkazi wa Arusha aliyejichimbia kaburi lake nyuma ya nyumba anayoishi amesema hadi sasa kaburi lake limeshatumia zaidi ya shilingi million moja na laki sita na mpaka likamilike litatumia millioni tano.

Pamoja na hayo Mzee huyu amesema anakumbuka mambo ambayo Rais wa Tanzania John Magufuli ameyafanya ikiwemo serikali kuihamia dodoma,kufufua treni pamoja na wanafunzi kusoma bure.BOnyeza PLAY hapa chini.

BABU WA MIAKA 101 AJICHIMBIA KABURI LA MILIONI, “NITALIWA NA FISI, NITAACHA LAANA”

Chanzo: millardayo.com