Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Babu Tale amkaribisha msanii wa Nandy kwenye gemu

Tale Na Yammitz Babu Tale amkaribisha msanii wa Nandy kwenye gemu

Mon, 23 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa Diamond, Babu Tale, amemkaribisha msanii wa Nandy, Yammitz, na kumtakia kila lakheri.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Bbau Tale ameposti kipande cha video ya Yammitz na kusindikiza na ujumbe huu:

"Haya ndio mambo tunatamani kuyaona yanatokea kila Leo kwenye sanaa yetu.. KARIBU @yammitz Karibu kwenye biashara nzuri yenye kila aina ya Maneno.. kuanzia Sasa utapata marafiki wapya wengiiii...humo humo Kuna wabaya na wazuri kua makini.. heshimu aliekushikana mkono.. shangaa na ujiulize kwanini kawaacha wengine kaamua kwenda nawewe.. sio kwamba et unajua sana kuliko wengine.. hapana hiyo ni bahati ambayo wenzio wengi wangetamani iwafikie.. yess unakipaji ndio..Ila mwenzie ni NIDHAMU.. nikiwa Kama godfaza wahii sanaa.. nakufungulia huu mlango karibu... nanakutakia MAFANIKIO mema kwenye hii Safari yako. Hongera sana."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live