Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Babu Tale amfunda Shilole na Uchebe ‘Msinivue Nguo’ (Video)

Mon, 15 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Meneja wa WCB na Tip Top Connection, Babu Tale ambaye alikuwa msimamizi wa Shilole katika harusi yake na Uchebe, amefunguka kuwafunda wawili hao kuhusu maisha ya ndoa. Tale amesema amtaka Uchebe kuhakikisha ana mnyoosha Shilole tararibu mpaka atakaa kwenye reli.

Chanzo: bongo5.com