Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Babu Tale akoshwa na uwezo wa Rapa Phyno kutoka Nigeria

Babu Tale Akoshwa Na Uwezo Wa Rapa Phyno Kutoka Nigeria Babu Tale akoshwa na uwezo wa Rapa Phyno kutoka Nigeria

Thu, 23 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kutoka kwa Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki na Meneja wa Staa wa Muziki Diamond Platnumz, Babu Tale ametusanua kuwa kwa upande wa Afrika Magharibi, Msanii wa Hiphop anayemkubali zaidi ni Phyno kutoka Nchini Nigeria.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Ameshare Picha akiwa na Rapa huyo wakiwa The Galleria of Houston Kisha kuisindikiza na ujumbe...

"Huyu ndiye mwanamziki pekee wa hiphop ninayemkubali West Africa @phynofino."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live