Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

“Babu Seya na Papii kocha saivi wapo studio, wako fiti”

1942 RED 660x400

Thu, 25 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Baada ya kusambaa kwa picha na Video zikiwaonesha Papii Kocha na Babu Seya wakiwa wanarecord katika Studio za Wanene, leo January 25, 2018 Mkurugenzi wa Wanene Dash amesema jinsi walivyokuwa na moyo wa kazi na walivyojipanga kuachia wimbo wao mpya wiki ijayo.

“Tumefanya Photo Shooting nao last week ili watu waone muoenkano wao mpya wanaokuja nao, sisi tumeamua kuwasaidia mbali na hiyo story yao nzima lakini wao wana vipaji tumesikiliza muziki wao wanaoimba ni kitu kizuri sana.”

“Sisi tumeamua kujitolea,, tushamaliza Recording mix na mastering itafanyika ijumaa ya wiki hii na Jumatatu watasikiliza then tupange tarehee ya kuachia wimbo huo” – Dash

Bonyeza PLAY kumsikiliza akielezea..



“MSIBA HUU NI MKUBWA KWANGU NA NI PIGO”-DIAMOND PLATNUMZ

Chanzo: millardayo.com