Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Babu Seya na Papii Kocha waanza kurekodi rasmi Wanene (Video)

Fri, 5 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Familia ya mwanamuziki wa Nguza Vicking maarufu ‘Babu Seya’ leo Ijumaa imekutana na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza katika studio za muziki wa Wanene. Babu Seya ameongozana na mwanaye Johnson Nguza maarufu Papii Kocha na Micheal Nguza ‘Nabii Nguza.

Chanzo: bongo5.com