Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baba yangu aliniambia nitaishia kuimba Gospel - Davido

Davido Atetewa Video Aliyowachefua Waislamu Baba yangu aliniambia nitaishia kuimba Gospel - Davido

Wed, 26 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Huko nchini Nigeria imefanyika ndoa ya Taifa #Davido na #Chioma ambapo mastaa wengi wa muziki wali-show love kutokea katika harusi hiyo.

Moja ya kitu alichofichua #Davido katika harusi hiyo ni maono ya Baba yake Deji Adeleke ambaye amemtabiria kuwa Career yake ya muziki itaishia kuimba nyimbo za Injili.

“Baba yangu alisema alikuwa na maono kwamba nitaishia kuwa mwimbaji wa nyimbo za injili” vuta kushoto kuona Davido akizungumzia hilo

Mastaa ambao wametokea harusi ya #Davido ni #MrP #DonJazzy #VictorOsimhen #Patoranking #Olamide #ZlatanIbile #Lojay #Chike #Mayorkun #KCEE na wengineo.

Vipi abaki kuimba nyimbo za dunia au afanye muziki wa Injili?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live