Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baba yake Mohbad adai kutishiwa maisha

Babake Mohbad Baba yake Mohbad adai kutishiwa maisha

Thu, 11 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baba wa marehemu mwanamuziki Mohbad kutoka nchini Nigeria kupitia mahojiano yake ya hivi karibuni ameeleza kuwa aliyekuwa mke wa #Mohbad, Wunmi na wakili wake wanatishia kumuua.

Baba Mohbad, Joseph Aloba ameweka wazi suala hilo wakati akizungumzia kuhusiana na kuchelewa kwa majibu ya vipimo vya mwili wa mwanaye pamoja na #DNA na kueleza kuwa alipigiwa simu ya vitisho na #Wunmi ambapo amedai kuwa amerekodi kila kitu.

Ikumbukwe kuwa Marehemu #Mohbad alifariki Septemba 12, 2023 Ikorodu nchini #Nigeria.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live