Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baba wa Rihanna atoa neno kuhusu ujauzito

Riri Pregnant Baba wa Rihanna atoa neno kuhusu ujauzito

Mon, 20 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Leo ni siku ya kuzaliwa mwimbaji Rihanna na ametimiza umri wa miaka 35, Baba yake mzazi Mzee Ronald Fenty amekaririwa na mtandao wa TMZ akisema, hata yeye alizipata taarifa za ujauzito wa binti yake kwenye Jukwaa la Super Bowl kama ambavyo sisi tulizipata.

Ronald Fenty ambaye alipaa toka Barbados kuhudhuria fainali hizo, ameiambia TMZ kwamba alikuwa hajui chochote kwamba binti yake anatarajia mtoto wa pili na A$AP Rocky.

Mzee huyo amekaririwa pia akisema bado hajawekwa karibu na mtoto wa kwanza wa Rihanna ambaye alizaliwa mwezi Mei, 2022. Kwa matarajio, anatumani Riri atajifungua mtoto wa kike.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live