Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baba wa Drake aruhusiwa kurudi Canada

Drake With His Father Baba wa Drake aruhusiwa kurudi Canada

Wed, 17 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baba wa mwanamuziki kutoka nchini Marekani Drake, Dennis Graham,ameruhusiwa kurudi nchini Canada baada ya kumaliza adhabu yake.

Kupitia Insta story ya ‘rapa’ huyo ame-share picha ya baba na mama yake wakiwa pamoja na ameweka wazi kuwa baba yake ameruhusiwa kurudi nchini Canada.

Ikumbukwe kuwa baba yake na Drake alizuiwa kurudi Canada kutokana na masuala ya kisheria, hivyo kipindi chote cha mika 15 alikuwa akiishi Marekani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live