Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baba awafungulia kesi marafiki marehemu mwanaye

Baba Awafungulia Kesi Marafiki Marehemu Mwanaye Baba awafungulia kesi marafiki marehemu mwanaye

Sun, 24 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baba wa alikuwa msanii Marehemu Amy Winehouse amewafungulia mashtaka marafiki wawili wa mtoto wake ambao anadai waliuza mali za mtoto wake mwaka 2021 na mwaka huu kwa kutumia majina yao.

Kwa mujibu wa PageSix, Mitch Winehouse, 71, anadaiwa kufungua kesi ya karibu dola milioni 1(zaidi ya Tsh.Bilioni 2.5) katika Mahakama Kuu ya London dhidi ya Naomi Parry na Catriona Gourlay ambao walipiga mnada wa mali ya mwimbaji marehemu mwaka huu na 2021.

Amy Winehouse alifariki July 23, 2011 huko Camden Town, London, United Kingdom.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live