Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Baba amuoa ex wa mwanae

Sydney Demu Baba amuoa ex wa mwanae

Sat, 17 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Sydney Dean (27) na Paul (51) ni wanandoa kutoka mji wa Ohio, Marekani. Sydney ambae awali alikua na mahusiano na mtoto wa Paul kipindi hicho akiwa na umri wa miaka 11, alikuwa akienda nyumbani kwa Paul mara kwa mara kumtembelea mchumba wake (Mtoto wa Paul) waliokuwa wanasoma darasa.

Baada ya miaka miwili kupita mahusiano yao yalivunjika baada ya Sydney kukuta meseji za msichana mwingine kwenye simu ya mpenzi wake huyo na ndipo Sydney akaamua kuanza kuchati na baba yake mchumba wake ambae ni Paul ili kulipiza kisasi.

Lakini, akiwa na umri wa miaka 16 ambapo kwa Marekani tayari ni mtu mzima, Sydney akazama kwenye mapenzi mazito na Paul, Sydney mwenyewe anasema alianza kama mzaha hakudhani kama itafikia kuja kuolewa na Paul.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live