Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baba alimaindi sana nilipomwambia nina mimba - Paula

Baba Alimaindi Sana Nilipomwambia Nina Mimba   Paula Baba alimaindi sana nilipomwambia nina mimba - Paula

Thu, 18 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtoto wa P Funk, Paula amesema alipomueleza kwa mara ya kwanza baba yake kuwa ana ujauzito wa Marioo, alimaindi sana.

Paula aliyasema hayo jana alipokuwa kwenye baby shower yake ambayo pamoja na kuhudhuriwa na mastaa mbalimbali alikuwepo pia P Funk.

"Nilipomueleza kwa mara ya kwanza kama ilivyo kwa wazazi wengine, alimaindi lakini hata hivyo baadaye alielewa," alisema Paula.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live