Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baba Levo kufanya sajari ya pua Uturuki, kuteketeza milioni 46

Baba Levo Pua Baba Levo

Tue, 31 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Chawa Pro Max, yeye hupenda kujiita Fundi Manyumba ‘Baba Levo’ amesema ana mpango wa kwenda nchini Uturuki kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji wa pua na kitambi kwani amekuwa akichekwa mara nyingi kutokana na muonekano wake huop.

Kupitia kipindi cha Refresh cha Wasafi TV, Baba Levo amesema; ''Nakwenda Uturuki kuhakikisha nafanya surgery ya pua maana nimechekwa vya kutosha.

“Sasa ni muda umefika niende kufanya surgery, niende nikate pua niwe handsome boy, itagharimu kama shilingi milioni 46 za Kitanzania kwa sababu ni pua na kitambi," amesema Baba Levo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live