Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baba Levo awaonya Harmonize, Marioo "Nitawapeleka mahakamani"

Baba Levo Na Harmo Baba Levo na Harmonize

Fri, 3 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Baba Levo amewaonya wasanii wote ambao wanashindanishwa na Diamond Platnumz na kusema kuwa kwa namna ambavyo Diamond anaendelea kuonyesha heshima kwenye muziki huo na kwamba yeyote akatayeshindana naye anampeleka mahakamani.

Baba Levo amemshauri msanii wa Bongo Fleva na CEO wa Konde Gang Harmonize namna ya kufanya ili aendele kufanya vizuri kwenye muziki wake na sio kukubali kushindanishwa na Diamond.

Baba Levo pia amemtaja Marioo na kumwambia asijaribu kabisa kukubali kushindanishwa na Diamond.

Msanii kama Alikiba yeye amezoea magumi ya Diamond huyo muacheni maaana yeye tu hataki kushindana na mtu na ni msanii mkali sana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live