Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baba Levo asimulia alivyofumaniwa baa

Baba Levo Pic Data Baba Levo asimulia alivyofumaniwa baa

Sun, 23 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchekeshaji na mtangazaji wa Wasafi FM, Baba Levo amesimulia jinsi alivyofumania baada ya kukutwa baa akiwa na mrembo wa watu.

Alisema, siku hiyo alikuwa amekaa baa na mrembo mmoja ndipo jamaa wake alipofika na jamaa wake na kuanza kumhoji maswali mpenzi wake.

“Alimuuliza yule dada huyu ni nani wako, mimi nilipomuangalia jamaa mwenyewe ni mdogo nikamchimba mkwara ndipo waliponivamia jamaa kama mia hivi, wakaanza kunipa kichapo kidogo nilipoona wapo wengi nikawa mpole,” alisema Baba Levo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live