Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baba Levo apata mtoto wa kiume, ampa jina la Diamond

Baba Levo Apata Mtoto Wa Kiume, Ampa Jina La Diamond Baba Levo apata mtoto wa kiume, ampa jina la Diamond

Wed, 1 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Chawa wa Diamond Platnumz, Baba Levo ameshea nasi kuwa amepata mtoto wa kiume na kumpa jina la bosi wake, Platnum.

Baba Levo ameposti picha ya mtoto wa kiume (sio mwenyewe lakini) na kumshukuru Mungu kupata mtoto wake huyo wa kiume.

"KWA KIHEREHERE NILICHONACHO SIJUI KAMA #PLATNUM ATAFIKISHA AROBAINI SIJAMPOST…!! Ntakuwa Nishampeleka Kwa BABU YAKE @diamondplatnumz," aliandika Baba Levo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live