Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baba Levo ampa gwala Chege

CHEGE BABA LEVO Baba Levo ampa gwala Chege

Mon, 22 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

'Real Recognize Real' hivyo ndivyo unavyoweza kusama baada ya msanii Baba Levo kuamua kumpa heshima msanii mwenzake Chege Chigunda kwa kufungua milango ya muziki mkoani Kigoma.

Wawili hao ambao wote ni wanamuziki tokea mkoani humo, mapema asubuhi ya leo, Baba Levo kupitia ukurasa wake wa Instagram ameeleza kwamba Chege alipambana sana kuufungua muziki wa Kigoma kwani kwa miaka nyuma kimuziki mkoa huo ulikuwa nyuma.

"Kama Kigoma haitokupa heshima ya kuufungua muziki wa Kigoma acha mimi nikupe mapema kaka yangu Chege. Kigoma tulikuwa nyuma sana. Ulipambaba sana…!!!!" - unasomeka ujumbe wa Baba Levo kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live