Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baba Levo amchana Mwijaku 'ghorofa lenyewe jembamba'

Mwijaku Na Baba Levo Wazichapa Mbele Ya Waandishi.png Baba Levo na Mwijaku.

Mon, 8 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtangazaji wa Wasafi Media na msanii wa Bongo Fleva, Baba Levo amempongeza chawa mwenzake, Burton Mwemba maarufu kama Mwijaku kwa kujenga nyumba maana amewakomesha baadhi ya watu waliokuwa wanaongea sana mjini.

Lakini Baba Levo anasema ghorofa la Mwijaku jembamba mno na kudai kuwa Mwijaku ameongea uongo kuhusu gharama ya jumba lake na kwamba yeye anajua kila kitu tangu nyumba inaanza kijengwa.

Baba Levo amesema kwamba, nyumba ya DC Mwijaku haina thamani ya Tsh bilioni 1.3 kama alivyosema mwanzo bali gharama yake ni Tsh milioni 123 tu.

Aidha, Baba Levo amesema kuwa mashabiki wake wasubiri mwezi wa tisa ambapo atazindua nyumba yake mpya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live