Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baba Levo amburuza Harmonize mahakamani

Baba Levo Amburuza Harmonize Mahakamani Baba Levo amburuza Harmonize mahakamani

Mon, 12 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Baba Levo kuweka wazi kuwa tayari amemkatia RB Harmonize baada ya taarifa yake ya kuwa jana Usiku alimshambulia, sasa taarifa mpya aliyoitoa Baba Levo ni kuwa watakutana Mahakamani na Harmonize kabla ya Ijumaa.

Baada ya Baba Levo kuweka wazi kuwa tayari amemkatia RB Harmonize baada ya taarifa yake ya kuwa jana Usiku alimshambulia, sasa taarifa mpya aliyoitoa Baba Levo ni kuwa watakutana Mahakamani na Harmonize kabla ya Ijumaa. Baba Levo amesema anaamini baada ya hapo Harmonize atajifunza na kutorudia tena makosa yake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live