Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baba Levo afungukia 'mimba' ya Kajala

Baba Levo L Baba Levo afungukia 'mimba' ya Kajala

Sat, 12 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kuenea taarifa kwamba Kajala ana ujauzito wa Harmonize kutokana na wote kupost video ikimuonyesha mwanamke mwenye ujauzito, Baba levo amesema kuw ahuo ujauzito sio wa Kajala ni wa mwanamke wake na Mwijaku.

Baba levo amesema kuwa wote wanajua kuwa huyo mwanamke alipewa ujauzito na Mwijaku cha kushangaza haelewi kwanini Harmonize ameamua kupost vile?

Baba levo anahoji kuwa labda anataka amkomoe Mwijaku kwa kuendelea kumsema vibaya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live