Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baba Levo aanikia chanzo ugomvi wake na Harmonize

Makubwa! Baba Levo Atangaza Kuunza Akaunti Yake Ya Insta Sh. Bil. 1 Baba Levo aanikia chanzo ugomvi wake na Harmonize

Mon, 12 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baba Levo amefanya mazungumzo na Ayo Tv ambapo amefunguka sababu za kuzuka kwa ugomvi kati yake na Harmonize usiku wa jana.

Baba Levo anadai kuwa kuna tajiri alishinda pesa zaidi ya Bilioni 1 wakiwa Casino, baada ya kushinda tajiri alimpatia Baba Levo Milioni 10 ili agawane na wengine waliopo hapo Casino akiwemo Harmonize.

Kwa mujibu wa Baba Levo anadai kuwa Harmonize alimpora Milioni 5 jambo ambalo kwa upande wake hakuridhia.

Katika harakati za kumtaka Harmonize atoe pesa hizo ndipo Harmonize alimkunja shingoni na kuanza kufanya vurugu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live