Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baba Levo aachiwa mtoto mdogo alee, mama yake katimkia Sauz

Baba Levo New Baba Levo aachiwa mtoto mdogo alee, mama yake katimkia Sauz

Thu, 12 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Maisha ya kimjinimjini shida! Baba Levo amelazimika kulea mtoto mdogo baada ya mama yake kutimkia Sauz kutafuta maisha.

Baba Levo amesema, ameona kuliko mtoto yake kulelewa na ndugu wa mzazi mwenziye, ameona bora kumchukua kwa muda na atamrudisha mama yake atakaporejea.

"Mama yake ameenda Afrika Kusini alishindwa kusafiri nae, kuliko mtoto kukaa na kaka zake na mke wangu ni bora nikae nae. Mama yake huko alipoenda akijipata ni rahisi kumkabidhi mtoto. Nitamchukua akiwa na miaka saba," alisema Baba Levo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live