Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baba Levo: Nitahakikisha Diamond anamuoa Zuchu

Diamond Zuchu Ma Baba Levo: Nitahakikisha Diamond anamuoa Zuchu

Wed, 28 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Bongo Fleva Baba Levo ambaye pia ni chawa wa msanii Diamond Platnumz, amesema kuwa atahakikisha kuwa Diamond anamuoa Zuchu kwa namna yoyote ile.

Baba leo amesema hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram ikiwa ni miezi kadhaa sasa imepita tangu Diamond aanze kutajwa kuwa anatoka kimapenzi na Zuchu.

"Nitahakikisha Diamond Platnumz anamuoa Zuchu, hakuna mambo ya mchezo mchezo hapa…!???????????? hii ni atake asitake atamuoa…!" amesema Fundi Majumba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live