Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baba Levo: Nimemfuma Harmonize na Poshy wakifanya yao

Baba Levo Harmo Poshy Baba Levo: Nimemfuma Harmonize na Poshy wakifanya yao

Wed, 10 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Baba Levo ameweka wazi kuhusiana na mahusiano ya Harmonize na mrembo Poshy Queen.

Kwa maelezo yake amesema kuwa alishawahi kumfuma Harmonize na Poshy zaidi ya mara tatu wakiwa wanafanya yao, tena siyo hapo tu sehemu nyingi alishawahi kuwafuma lakini hawezi kutaja ni sehemu ghani izo.

Ikumbukwe tuu hivi karibuni kuliibuka tetesi kuwa Poshy ni Mpenzi wa Dj Seven kwani hata yeye alithibitisha kuibiwa na aliyeiba ni Harmonize ambaye alikuwa bosi wake wa zamani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live