Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baba Levo: Nimechoka kuwa chawa bosi nibadilishie cheo

Baba Levo 24324 Baba Levo na Diamond

Thu, 26 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kutoka kwenye mtandao wa kijamii wa Msanii Baba Levo ameonyesha kuchoshwa na kuwa chawa wa msanii na mmiliki wa rekodi lebo ya WCB, Diamond Platnumz.

Kutoka kwenye mtandao wa kijamii wa Msanii Baba Levo ameonyesha kuchoshwa na kuwa chawa wa msanii na mmiliki wa rekodi lebo ya WCB, Diamond Platnumz. Babalevo ameandika; "Tafadhali boss nimechoka kuwa chawa...!! Nibadilishe cheo boss wangu," amesema Baba Levo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live